TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, November 27, 2015

Monica kamuweka Akon kwenye hii mpya; ‘Hustler’s Ambition’ na angependa ikufikie – (Audio)


Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Monica Brown maarufu kama Monica ataachia Album yake ya nane Code Red tarehe 18 December 2015… na baada ya kuachia single inayobeba Album hiyo na Missy Eliott, Monica amerudi tena kuweka headlines na single nyingine kutoka kwenye Album hiyo.
MONIAKON2
Wimbo unaitwa ‘Hustler’s Ambition’ na feature ya wimbo huu imesimamiwa Mkurugenzi wa Konvict Muzik, Akon… Ukiachia mbali single aliyofanya na Missy Eliott na hii mpya na Akon, Album ya Monica, Code Red imebeba featuring za wasanii kama Timbaland, Polow Da Don na Lil Wayne ambaye alionekana kwenye video ya Just Right For Me.
MONIAKON3
Hustler’s Ambition ni mdundo wa daika nne tu mtu wangu, kuunasa bonyeza play hapa chini.

No comments:

Post a Comment