TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, July 29, 2015

KUCHUKUA TUZO FILAMU YA GOING BONGO YAMTIA "UCHIZI" MSANII VICENT KIGOSI RAY AISHINDWA KUMPA MKONO STAA WA FILAMU HIYO ERNEST NAPOLEON, MASHABIKI WAMSHUSHA NA KUMWAMBIA BORA AACHANE NA SANAA KWA VILE IMEMSHINDA...!

 Staa wa filamu ya  Going Bongo Ernest wa pili kutoka kushoto ambae ni mstaa wa kimataifa na Mtanzania wa kwanza kuitangaza Tanzania hii Kimataifa  kupita sanaa akiwa kwenye mahojianoa waandishi mbalimbali wa Televisheni
BOFYA HAPA KUONA FILAMU YA WAKE YA MSANII MANAIKI SANGA JUU NA CHINI NI DEMO YA FILAMU YA GOING BONGO EBU CHEKI UHONDO HUU

Ernest Napoleon Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Ernest Napoleon Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Ernest Napoleon Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Msanii Ray ambae hivi karibuni alifanya kituko cha aina yake kwa kushindwa kumpa mkono msanii mwenzake wa Kimataifa Mtanzani anaeishi nchini Marekani. Ray ambae alifanya kosa hili siku chache baada ya filamu ya Going Bongo iliyotengenezwa nchini Marekani na Tanzania  kuchukua tuzo kwenye maonesho ya Ziff na kuwa filamu bora Afrika Mashariki na Kati.
 MSANII na Staa wa filamu ya GOING BONGO Ernest Napoleon akizungumza na vyombo vya habari mbalimbali kuhusu ubora wa filamu yake hiyo ambayo hadi sasa imekwisha oneshwa zaidi ya nchi 7 Duniani na kuwa na mafanikio makubwa.
 MSANII na Staa wa filamu ya GOING BONGO Ernest Napoleon akiwa na wasanii wengine wenye ushirikiano huku wakimpongeza


 MSANII na Staa wa filamu ya GOING BONGO Ernest Napoleon akipokea tuzo hiyo.


 MSANII na Staa wa filamu ya GOING BONGO Ernest Napoleon akiwa kwenye moja ya vipande vya filamu hiyo full watoto wa kizungu
 Credit: Maskanibongotz




No comments:

Post a Comment