TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, July 5, 2015

FILAMU MPYA YA WAKE UP YA MANAIKI SANGA YAMDATISHA VICENT KIGOSI “RAY”, ASEMA NI FILAMU YA KWANZA KWA UBORA TANZANIA, MASHABIKI WABAGAWA NA WINGI WA MASTAA...!

HII HAPA FILAMU YA WAKE UP YA MANAIKI SANGA ILIYOSHIRIKISHA MASTAA ZAIDI YA 30 KWA PAMOJA  NA CHINI NI MSANII RAY AMBAE AMEIPITIA SALUT FILAMU HII KWA KUCHEZWA KWA KIWANGU CHA JUU














Na Mwandishi Wetu
Msanii mwenye jina kubwa nchini kwenye kiwanda cha Bongo Movie Vicent Kigosi maarufu kwa jina la Ray ameibuka na kumpongeza msanii  mwenzake Manaiki Sanga kwa kuandaa  filamu bora  na ya kwanza katika histori ya filamu kwa kuchezwa na mastaa zaidi ya 30 kwa mpigo.
Akiongea na mtandao huu Ray alisema “ Kaka huwa ni vigumu kwa baadhi ya wasanii kusifia kazi ya msanii mwenzao  lakini mimi nazungumza toka  moyoni kuwa filamu ya Wake Up ni filamu ya kwanza kuwa na uboro huku ikiwa imesheni mastaa wengi kupita kiasi” Alisema Ray
Aidha msanii huyo aliongeza kusema kuwa Manaiki Sanga anastahi pongezi kwa kazi nzuri na wasanii wote wanatakiwa kumuunga mkono kwani licha ya uchanga wake kwenye tsania hiyo lakini ameweza  kuleta upinzani mkubwa kwa wao mastaa kiasi cha kuwafanya kuumiza kichwa muda wote.

Filamu ya Wake Up ambayo itasambazwa na kampuni ya Steps na inatarajia kuwa mtaani mapema mwezi ujao huku maelfu ya mashabiki wakiisubiri  kwa hamu kuona  ushiriki wa mastaa wengi. 

No comments:

Post a Comment