TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 14, 2015

WABURUNDI WAISHIO TANZANIA WAMUOMBA SHEKH SHARIF KHAMIS KUTUA BURUNDI KWA AJILI YA KUWAOMBEA DUA KUEPUSHA MAUAJI YA KUTISHA KWENYE FUJO ZINAZOENDELEA...!






Na Mwandishi Wetu
Wananchi wa Burundi waishio Tanzania wamemuomba kijana Shekh Sharif Khamisi Raia wa Tanzania  ambae kwa sasa yupo nchini Kongo kwa ajili ya huduma ya kuomba dua nchi hiyo kuondokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe kutua nchini humo. 
Shekh Sharif Khamis ambae dua zake zimeleta mabadiliko makubwa sana nchini Kongo hivyo kama atatua Burundi atasaidia kuondoa vurugu hizo kwa dua tu na si kutumia nguvu nyingi.

No comments:

Post a Comment