TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, May 18, 2015

USTAADH KESI " MTOTO WA MCHUNGAJI" AWAJIA JUU VIONGOZI WANAOUA BINADAMU WENZAO KISA UONGOZI, ASEMA WAGANGA WOTE WANAHUSIKA NA IMANI HIYO WAPIGWE RISASI ILI IWE FUNDISHO ...!

 Ustaadh Kessy na Shekh Sharif Khamis wakipeana miko no baada ya kikao chao na waandishi wa habari hivi karibuni kwa ajili ya utambulisho wa ofisi yao mpya ya Manaklin Natural Heling Clinic iliyopo kwenye msiki wa Kichangani Magomeni Mapipa.
 Ustaadh Kessy akizungumza na wanahabari kuitambulisha ofisi yake  hivi karibuni iliyopo Mburahati ya Tiba Asilia pamoja na kutibu magonjwa sugu ya wakina mama na kupambana na majini wabaya wanaotumiwa na wachawi kuangamiza watu. Hata hivyo Ustaadh Kesi katika mazungumzo hayo aliungana na watanzania pamoja na viongozi wa Serikali kupinga mauaji ya walemavu Albino .
Hata hivyo Shekh huyo alitoa uwito kwa watanzania kufika kwa wingi Clinik kwake hasa wale wanaoteseka na magonjwa ya ajabu ajabu na ambao wako tayari wampigie simu namba 0713-247829 na moja kwa moja watapata huduma hiyo. 
 

No comments:

Post a Comment