TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 28, 2015

BALAA KUBWA: BONGO MOVIE WATAKIWA KWENDA KUCHANGIA DAMU MUHIMBILI HARAKA SANA, TEAM LOWASA WAPONGEZWA...!









MWANDISHI WA MASKANIBONGOTZ: 
Wananchi mbalimbali wanaendelea kufika kwa wingi kwenye Hosptali ya Muhimbili kwa ajili ya kusaidia bank ya damu kwa kutoa damu huku wananchi wakiipongeza timu ya Lowasa walienda hivi karibuni kutoa damu zao hali iliyosaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mahitaji ya damu salama. Wakiongea na maskanibongotz wananchi hao wamewaomba wasanii wa bongo movie nao kufanya hivyo kufika Hosptalini hapo kwa ajili ya kutoa damu na sio kuendekeza starehe za kufanya pati na kuendesha magari ya kifahari pamoja na starehe zingine wakati kuna jamii yenye uhitaji ambayo inahitaji msaada wa damu. Hata hivyo wananchi hao waliongeza kusema kuwa wasanii bongo movie ni wengi sana na wanaonekana wanaafya njema hivyo wangehamasisha watu kuchangia damu ili iwe mfano sa kitendo cha kuogopa kwenda kutoa damu kinazusha minong'ono mbalimbali kwenye jamii ikizingatia wao ni kioo cha jamii. Credit: Maskanibongotz 

No comments:

Post a Comment