TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 20, 2015

WEZI WA KAZI ZA WASANII WAICHUKIZA MIMBA YA AUNT EZEKIEL AMPONGEZA MANAIKI SANGA KWA KUANDAA FILAMU YA EXPENDABLES YA TANZANIA ...!


Msanii wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.

WAKATI mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo.

Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali inawezekana kuna tatizo lake lingine.
Mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto.
“Suala la wezi lipo miaka mingi na kama mkongwe na mpenda maendeleo alitakiwa kusimama maana kila mmoja akisema achukue uamuzi kama huo ni wazi kwamba kutakuwa hakuna msanii tena Tanzania,” alisema.
Hata hivyo katika hatua nyingine msanii Aunt Ezekiel amempongeza msanii Manaiki Sanga kwa kuandaa filamu kubwa na ya kwanza tanzania kushiriki mastaa wengi. Filamu hiyo imewashirikisha wasanii hawa rene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi,  Hemed Kavu “HK”  kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B,   akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.   

No comments:

Post a Comment