TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, January 26, 2015

DUH, KUMBE BODIGADI WA DIAMOND MTU HATARI NI KOMANDOO WA MAPIGANO ALIFUNDISHWA NA JESHI LA IRAN YADAIWA ANAUWEZO WA KUPAMBANA NA WATU 10 KWA WAKATI 1. MASKANIBONGOTZ INAKUPA MCHONGO..!












 Posted by maskani bongo at 7:17 AM Bodigadi wa Diamond Mwarabu Seleman Mirundi akifanya mazoezi ya kikomandoo kwenye msitu wa chuo kikuu kuhofia watu wasione mazoezi yake. maskanibongotz Juu picha za wanajeshi wa Irani ambao pia ni makomandoo ambao awefanyanao mazoezi. maskanibongotz Hapa Mwarabu akiwajibika kumlinda boss wake nchini Burundi. maskanibongotz Ndani ya filamu hii ya Expendables ya Tanzania iitwayo Wake Up ya msanii Manaiki Sanga  pia ameshiriki bodigadi huyu wa Diamond ameshiriki  Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nchini Iran hivi karibuni alipokwenda kwa mara ya kwanza kushiriki michezo ya mapigano ya hatari ambayo hufanywa na wanajeshi hasa walifuvu ukomandoo. maskanibongotz Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nyuma ya bendera ya Tanzania tayari kupambana na Komandoo wa Iran ambae hata hivyo alimchakaza vibaya na kuokolewa raundi ya kwanzamaskanibongotz Hiki ni cheti alichotunukiwa nchini Iraq baada ya kumsambaratisha Komandoo wa nchi hiyo ambae hakumtaja jina.maskanibongotz Hiki pia cheti alichotunukiwa na nchini Mozambique baada ya kuwatandika wanajeshi kadhaa nchini humomaskanibongotz Mwarabu akifanya mazoezi mepesi na mmoja wa maofisa usalama wa nchini Tanzania maskanibongotz Kazi kazi  Na Sakina Shabani wa maskanibongotz Jamaa huyu hakuwa anafahamika sana hata kwenye matamasha mbalimbali ulikuwa huwezi kumkuta lakini baada ya kupata kazi ya kumlinda staa wa Bongo Flava nchini Naseeb Abdul Diamond alianza kujulikana zaidi huku watu wakimchukulia kama mtu wa kawaida sana kama mabaunsa wengine. Jina lake harisi anaitwa Mwarabu Suleiman Mirundi huyu maskanibongotz baada ya kupata taarifa za kuwa huyu jamaa si mtu wa kawaida kwenye jamii ilifanyajitihada za kumtafuta huku kupatikana kwake huwa ni kwa nadra sana huwezi kumkuta mitaani kama tuwaonavyo mabaunsa wengine wanazurura mitaani. Maskanibongotz baada ya kutonywa sehemu anapoweza kupatikana kijana huyo ambapo ni msitu wa chuo kikuu ndiko anakofanyia mazoezi mara nyingi akiwa na mwanamuziki na bondia Zora D ndipo nilipofunga safari hadi huko na kumkuta kijana huyo akifanya mazoezi ya hatari kuyaona. Mwarabu alianza kuelezea ingawa hakupenda watu wajue kama yeye ni mtu wa aina hiyo lakini alianza kufunguka kama ifuatavyo " Dada mimi ni Komandoo lakini sio wa JWTZ hapana nimefuvu mazoezi haya ya mapigano nchini Iran toka mwaka 2010 baada ya kwenda kule kuchgeza mchezo wa kutumia mabavu ndipo niliposhinda kwa kumchakaza vibaya Komandoo wa Iran" Alisema Mwarabu Baada ya hapo Jeshi la nchi hiyo baada ya kumuona sio mtu wa kawaida kuwa raia wa kawaida ndipo alipochukuliwa Kambini humo kwa ajir ya kufanya mazoezi hayo ya hatari duniani hadi mwaka juzi 2013 ndipo walipompatia cheti cha kuhitimu kama kinavyoonekana pichani. Hata hivyo Mwarabu anasema kwa jinsi alivyo na mazoezi aliyoyapata chini ya watu kumi hatakiwi kupigana nao hata wakija na shoka isipokuwa zaidi ya hapo ndipo kidogo atawapiga makofi tu na kuwaacha lakini sio aseme atoe kichapo kwani pigo lake moja mtu anabadilishwa jina mara moja na kuitwa marehemu. Mwarabu ambae kwa sasa ameajiriwa na mwanamuziki Diamond na analipwa mshara mnono kwa kazi ya kumlinda ambapo hadi sasa  amenunua viwanja kadhaa na ujenzi unaendelea na si nyumba za kitoto huku akiwa na usafari zaidi ya gari tatu ambapo moja boss wake alimnunulia na mbili amenunua kwa mshahara anaomlipa na hadi sasa anakafikisha kilo 190 wastani wa kilo 200. Lakini pia bodigadi huyo ambae pia ameshiriki filamu ya Expendables ya Tanzania ya msanii Manaiki Sanga ambae kabla ya kutua kwa Diamond aliwahi kumlinda Manaiki Sanga Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.Credit: maskanibongotz 

No comments:

Post a Comment