TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, October 31, 2014

WAKATI BONGO MOVIE WAKIOMBOLEZA MSIBA WA MSANII MZEE MANETO, MSANII TINO MADHABU HALI YAKE NI MBAYA ANAHITAJI MSAADA KUNUSURU UHAI WAKE. DUDE ATUHUMIWA KULA HELA ZA MCHANGO..!



MSANII TINO MADHAHABU AMBAE TANGU WIKI ILIYOPITA AMEZIDIWA KWA UGONJWA KUOTA NYAMA PUANI HUKU AKIKOSA MSAADA WA WASANII WENZAKE
 http://www.bongomovies.com/public/uploads/R.I_.P_.jpg
 Wakati mashabiki na wasanii wa Bongo Movie wakiomboleza msiba wa Mzee Manento amefariki dunia hapo juz. kuna taarifa kuwa msanii mwingine wa Bongo Movie Tino Madhahabu nae amelazwa huku akitelekezwa bila msaada huku msanii Dude akituhumiwa kula pesa za mchango wa kumuuguzia msanii huyo.
Kwa mujibu chanzo chetu kiliieleza Maskanibongotz kuwa msanii amekuwa akiugua zaidi ya miaka miliwi na hivi karibuni familia ya msanii huyo  ilitoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuugua kwa  msanii huyo huku wasanii wenzake kumtelekeza ambapo mtandao huu uliwasiliana na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Saimon Mwakifwamba ambae alikuwa amemuagiza Dude afike nyumbani kwa Tino kwa ajili ya kuangalia hali halisi harafu michango ianze kuchangwa kwa ajili ya kunusuru uhai wa msanii huyo.
Hata hivyo kwa mujibu wa Tino mwenyewe alisema kuwa Dude alipiga simu kwake na kumueleza kama amepata taarifa zake toka kwa Rais hivyo ataendesha harambe ya mchango kisha atafika kwake toka hapo hali leo hajawahi kupiga simu kuelezea hiyo harambe imefikia wapi hali inayotia shaka huenda labda amekula mchango huo.
Maskanibongotz ilimtafuta Dude kupitia simu yake ya kiganjani ili kueleza ukweli wa tuhuma hizo ambapo simu ya msanii huyo iliita tu bila kupokelewa.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

No comments:

Post a Comment