TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 16, 2014

MISS TEMEKE MANAIKI SANGA WANASWA WAKIPAPASANA NYETI UFUKWENI. MREMBO HUYO AZIDIWA NA MAHABA...!


 Irine Kanka Miss Temeke akiwa na Manaiki Sanga, ambapo mrembo huyo akionekana kuzidiwa  baada ya kupapaswa nyeti zake kwa muda mrefu 
  Picha hii kuna kitu kinaendelea jamani Irene akiwa hoi

 Miss Temeke siku alipojitoa ufahamu ma kupiga picha za uchi na mpenzi wake Manaiki Sanga kipindi cha nyuma 

Hapa akiwa na Manaiki Sanga
Na Mwandishi Maalum
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa  hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwa mrembo aliywahiwahi kuchukuliwa kama mtu mwenye heshima kubwa nchini lakini baadae alikuja kuchafuka baada ya kujitoa ufahamu kwa kutupia picha uchi akiwa na Manaiki Sanga ambae ni bwanaake wa muda mrefu.
Hata hivyo licha ya mrembo huyo kujitokeza na kukanusha kama hakuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Manaiki Sanga, licha ya picha kuongea hivi karibuni picha mpya zimvuja zikimuonesha akiwa na Manaiki tena ufukweni wakichezeana nyeti hadi kuzidiwa kabisa na mahaba.
Picha hizo kama zinavyoonekana Irene akishikwa shikwa nyeti na Manaiki huku paparazi wetu aliyewavizia akiwafyatua picha bila wao kujijua.
Mtandao huu ulifanya jitihada za kumtafuta mrembo huyo ili azungumzie lakini hakuweza kupokea simu huku Manaiki nae akikata simu kila ilipopigwa hadi habari hii inaruka hewani.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

No comments:

Post a Comment