TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 1, 2014

MAAJABU MAKUBWA, MWANAFUNZI ALIYEKUWA ANAKULA KILO 10 ZA CHAKULA KWA SIKU MOJA, KUMBE ILIKUWA NGUVU ZA KICHAWI, NABII JERRY AFICHUA MAZITO ANGALIA USHUHUDA HUU HAPA..!


GRACE  SYLEVESTER "19"  ambae ni mwafunzi wa ST METTHEW HIGH SCHOOL ya Mbagala Jijini  Dar  akitoa ushuhuda madhabahuni jinsi Mungu alivyomfungua baada ya maombi ya Nabii Jerry Kushoto
 Nabii Jerry Kushoto akiwa na Grace
Maelfu ya waumini wakiwa wamejazana Kanisania kwake Mbezi Juu kwenye ibada 
 Nabii Jerry akionesha pesa za chuma ulete zilizokutwa kwa mmoja wa waumini wake kwenye begi la nguo huo
 Nabii Jerry akiwasha moto wa Kanisani kwake
Hivi ndivyo hali inavyokuwa nguvu ya moto inavyofanyakazi kanisani kwake Mbezi Juu kwa Temba
Na Mwandishi Wetu
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo tunavyoweza kusema kama wewe ni mfatilia mzuri wa taarifa za habari mbalimbali yule bint aliyekuwa akishangaza watu wengi kwa kula chakula kingi ambacho ni zaidi ya kilo 10 kwa siku peke yake huku bado akiwa hashibi.

Dada huyo aliyefahamika kwa jina la GRACE  SYLEVESTER "19"  ambae ni mwafunzi wa ST METTHEW HIGH SCHOOL ya Mbagala Jijini  Dar na ilikuwa afanaye mtihani wake wa kidato cha nne mwaka huu lakini hakufanikiwa kutokana na tatizo hilo la kushirikina.
Hata hivyo licha ya wazazi hao kuhangaika huku na kule kutafuta ufumbuzi juu ya tatizo hilo kwani hali ilivyokuwa inaelekea alikuwa anatia familia umasikini, kwani asubuhi peke yake alikuwa na uwezo wa kula chapati zaidi ya sabini au maandazi mia na maziwa galoni zima na asishibe.
Kufuatia kuhangaika bila mafanikio ndipo walipompeleka kwa Nabii Jerry wa Kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba na kufanyiwa maombi ambayo yalimfungua mara moja na sasa hali imerejea kawaida huku familia inapumua kwa bajeti.
Hata hivyo Mama mzazi wa msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Luida Tumsifu alithibitisha tukio hilo" Ni kweli hadi tuna inaniogopesha kwani nilihangaika sana kwenye makanisa ya kiroho kwa ajili ya kumuombea binti yangu lakini wapi ila tulivyoanza kuja hapa maombi ya Nabii Jerry yamemfungua mwanangu na sasa anakula chapati tano kwa siku na sahani moja ya ugari au wali hakuna tena kula kilo kumi namshukuru Mungu aisee kwa miujizo anayoifanya kupitia mtumishi wake Jerry" Alisema Mamam huyo
Aidha nae Mtumishi huyo hakusita kutoa uwito kwa wakazi wote wa Jiji la Dar kuendelea kumiminika kwenye Huduma yake kwa ajili ya kazi moja tu ya Uponyaji na maombi maalum na hii ndiyo namba yake ya huduma kwa maombi 0713-976786 Na ratiba zinaanza kila siku za Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, ni saa kumi jino  na Jumapili ibada inaanza saa tatu asubuhi hasi saa saba mchana.

No comments:

Post a Comment