TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 16, 2014

DOKTA KAMDEGE ATUMA MITI SHAMBA ZAKE KUTIBU EBORA, KAMA ITAFANIKIWA KUTIBU ITAKUWA BASI TENA...!


 Mtu aliyeathirika na maradhi ya ugonjwa wa Ebora
  

 Mtu aliyeathirika na maradhi ya ugonjwa wa Ebora
Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa vyake

Mganga maarufu wa kienyeji nchini ambae hutumia miti shamba kutibu binadamu amepeleka dawa zake kwenye mbalibali zilizoathirika na ugonjwa EBOLA kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya kutibu ugonjwa huo unasumbu Dunia kwa sasa.
Akiongea na vyombo vya habari juzi Jumatatu toka Tabora mganga huyo alisema kuwa amelazimika kutuma dawa hizo kwa nchi hizo ili kwa ajili ya kuwasaidia binadamu hao waliathirika na ugonjwa huo.
Hata hivyo Dokta kamdege aliongeza kusema kuwa anaziamini dawa zake za miti shamba kwani hazijawahi kushindwa kutibu kitu kwake hivyo ana imani kuwa zitafaa.
Dokata Kamdege ambae amekuwa akiwasaidia watanzania wengi na watu toka mabara mbalimbali duniani kwa kuwapatia dawa zake na kupona matatizo yao ikiwemo kupungukiwa nguvu za kiume, kupata mtoto, kupunguza makali ya UKIMWI  pamoja matatizo mengine ya kichawi.
Aidha mganga huyo aliongeza kusema anawaomba watanzania waendelee kufika kwake kwa ajili ya kunusuru ndoa zao, kushughurikia mambo yao ya kikazi, kibiashara na nk.
na simu yake ni 0763-146231 na wataongea nae moja kwa moja.

No comments:

Post a Comment