TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 1, 2014

DIAMOND ATIKISA BUNGE LA KATIBA DODOMA, WAHESHIMIWA KUSHINDANA KUCHEZA VIUNO VYA NGOLOLO LIVE NDANI YA MATEI LOUNGE, MASHABIKI WAFURAHIA KIINGILIA KIDOGO TU..!

Unaambiwa wafanyakazi wa maofisini pamoja na madent wa vyuo mbali mbali vya dodoma waanza kujichanga kwa ajili ya ujio wa Diamond .... Unaambiwa pia zile Baby baby sasa zawa nyingi Dodoma


Na Mwandishi Wetu Dodoma
Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dodoma na vitongiji vyake wameanza kushikwa na kimuhemuhe cha aina yake kufuatia ujio wa mwanamuziki Diamond.
Hata hivyo katika hali nyingine Waheshimiwa mbalimbali ambao wapo mjini Dodoma kwenye mchakato wa Katiba Mpya wamepania vikali onesho hilo.
Aidha mmoja wa waratibu wa onesho hilo Boss Ngasa alisema kuwa siku hiyo waheshimiwa mbalimbali watashindana kucheza Ngololo Live na mshindi atapatiwa zawadi kwa waheshimiwa hao " Naweza kusem hii ni historia mpya Diamond atakuwa jaji kwa waheshimiwa watakaocheza vizuri viuno vya Ngololo" Alisema Boss ngasa

No comments:

Post a Comment