TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, August 16, 2014

ZIARA YA BOSSNGASA YATIKISA STUDIO ZA E FM 93.7 RADIO, ALILIA STESHENI HIYO KUTUA DODOMA HARAKA. PICHA HIZI HAPA...!

BOSS NGASSA TOUR NDANI YA E.FM RADIO JIJINI DAR ES SALAAM, KWELI WENGINE MJIPANGE HII RADIO NI EBOLA YA JIJI, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA


Kutokea safari yangu ya Zanzibari kurudi Dar niliweza Kupitia 93.7 EFM na  nilifanikiwa kupata nafasi ya kutembelea Office za EFM Radio ambayo imekuwa Gumzo jijini Dar es salaam, Huwezi kuamini ndio Redio pekee inayoongoza kuwa na wasikilizaji wengi kwa kipindi kichache tokea izunduliwa,
Vile vile kitu kilichonishangaza na kustajabisha na kunifanya niweze kutembelea ofisi zao, ni kwamba kwa hapa Jijini Dar kila Bajaji/Boda boda pamoja na Dala dala wamebandika Stika za EFM utadhani ndio sare zao Huku wakiwa wamefungulia Radio zao kwa sauti ya juu sana kiasi ya kwamba wapinzani wao wanaumia sana kwa jinsi EFM ilivyoteka Jiji la Dar es salaam,

Pia niliweza kukutana na mkurugenzi wa EFM  Boss Majey na kufanikiwa kuongea naye, aliweza kuongea machache ambayo ni habari njema kwa mikoani, Ni kwamba wakazi wote wa mikoani wakae tayari kwa mkao wa kula, hivi karibuni wataweza kufikia mikoa tofauti tofauti na kupata ladha mpya kabisa ya radio hiyo na sio  zile za kukariri kama baadhi ya redio ambazo hazina ubunifu, kila kukicha nyimbo ni zile zile za kina nalilii...

EFM RADIO NDIO HABARI YA MJINI

















No comments:

Post a Comment