TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, July 11, 2014

SIKU 100 ZA MAAJABU YA 93.7 E-FM RADIO, YAFANYA MAPINDUZI YA KIHISTORIA JIJINI DAR WATU ZAIDI LAKI 5 WANAISIKILIZA KWA SIKU MOJA..!

Ilikuwa tarehe 2 mwezi wa Nne 2014 Jiji la lilipigwa butwaa kufuatia ghafla kusikika kwa radio mpya ambayo ilianza kutambulisha frekwensi zake ambazo ni 93.7 bila kujulikana jina la radio yenyewe.
Tangu radio hiyo iwe hewani hadi leo hii imefanikiwa kuliteka Bongo Dar es Salaam kwani zaidi ya mashabiki wapatao 200,000 wanaisikikiza kwa siku moja.

No comments:

Post a Comment