TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 15, 2014

KHA JAMANI, MZEE WA MIAKA 50 AMBAKA MTOTO WA MIAKA 10 ALIMKAMATA AKIWA ANATOKA SHULE NA KUMNANI KWENYE JUMBA BOVU...!

 Mtoto anae soma darasa la nne shule ya msingi Makamba iliyopo Mbezi Makabe Jijini Dar ambae amebakwa na mzee wa miaka 50 kwenye jumba bovu.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake jana wameshikwa na butwaa mara baada ya kumsikia mtoto mdogo mwenye umri wa miaka kumi akielezea namna alivyobakwa na mzee mwenye umri wa miaka hamsini huko Mbezi Makabae.
Tukio hilo ambalo kwa mara ya kwanza liliruka jana kwenye kituo cha 93.7 E-FM RADIO  lililotokea Ijumaa iliyopita na kulipotiwa kituo cha polisi Mbezi makabe na kupewa jarada namba MKB/RB/232/2014 na muda mchache mara baada ya tukio hilo E-FM ilifika eneo la tuki na kushuhudia umati mkubwa wa wananchi wenye ghazabu ambao walitangaza kiama cha kumska mtuhumiwa ambae mara baada ya kutenda kosa hilo alikimbia huku Jeshi la Polisi likimtafuta kwa udi na uvumba.
CREDIT: E-FM RADIO 93.7 DSM

No comments:

Post a Comment