TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 15, 2014

HIVI NDIVYO CHEMSHA BONGO YA SAKASAKA YA TSH MILIONI MOJA ILIVYOFANA WILAYA YA TEMEKEA, E-FM YAPONGEZWA KWA KUWAWEKA MASHABIKI KARIBU..!

 Wananchi wakisaka saka milioni moja kwenye viwanja vya ZAKHEM mwishoni mwa wiki iliyopita.
  Ilikuwa kazi ngumu sana ambapo baadhi ya watu walifika saa tisa za usiku kwenye viwanja hivyo kwa ajili ya kuisaka milioni moja iliyokuwa imefichwa.

  Jamaa aliyefanikiwa kukipa kifuu ambacho kilikuwa kiwakilishi cha milioni moja

  Mshindi huyo akiwa kwenye studio ya E-FM pamoja na mkewe mara jana Jumatatu.

 Mtangazaji wa E-FM wa kipindi cha Joto Sebo akiwa kwenye picha ya pamoja na msindi pamoja na mkewe.


  Radio Meneja Ndg Dickson Mponela " Big Dad Dizo" akimkabidhi kitita cha pesa mshindi huyo huku mkewe akishuhudia tukio hilo.



No comments:

Post a Comment