TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 17, 2014

UONGOZI CLUB MAISHA WAZUNGUMZIA HALI YA USALAMA MSIMU HUU WA SIKUKUU YA PASAKA, XTREEM DEEJAYZ KUANZA MASHAMBULIZI KEHO IJUMAA HADI JUMAPILI NI BALAA TUPU..!

Bw. Livingstone Mkoi ambae ni Afisa Ulinzi na Usalama Club Maisha zote Tanzania. 
Na Sakina Shabani
Uongozi wa Club Maisha zote Tanzania kupitia kwa msemaji wa idara ya ulinzi na usalama wa Club hizo Livingstone Mkoi umezungumzia hali ya usalama ilivyoimarishwa kwenye Club hizo msimu huu wa shamlashamla za sikukuu ya Paska.
Akizungumza na wanahabari jana jioni maeneo ya Matei Long iliyopo Dodoma Bw Livingstone Mkoi alisema " Napenda kuwashukuru wapenzi mashabiki wetu kwa maana ya wateja wa Club Maisha na tunashukuru kwa kutuchagua kuwa namba moja kwa kutoa burudani Tanzania ndiyo maana kwa sasa kila mkoa tunajitahidi kuwajengea Club Maisha ili watu wote wafikiwe na burudani" Alisema Afisa huyo
Hata hivyo aliongeza kusema " Msimu huu wa Pasaka tumejipanga vya kutosha kuimalisha usalama ambapo kushirikiana na jeshi letu sikivu la Polisi Tanzania kila mkoa zinakopatikana Club Maisha wametupatia Askari wa kutosha kuhakikisha watu wote wanaokuja kusheherekea sikukuu waingie salama na kutoka salama

No comments:

Post a Comment