TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 24, 2014

UNYANYASAJI HUU KWA WANAUME UKOMESHWE, WANAWAKE WA KIGOGO DODOMA WATAKIWA KUPUNGUZA UONEVU KWA WANAUME ZAO ANGALIA PICHA YA TUKIO HILI LA KUDHALILISHA..!

Na Mwandishi wa Xdeejayz Dodoma
Wanawake Mkoani Dodoma wenye tabia ya kurofi kwa wanaume zao wametakiwa kuacha mara moja kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria vilevile.
Kwa mujibu wa watafiti wa mambo wamesema kuwa Mkoa wa Dodoma umekuwa kwenye idadi ya mikoa saba inayoongoza wanawake wengi kuwapiga wanaume zao hivyo hali hiyo haikubaliki hata kidogo na inapaswa kukemewa.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment