TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 24, 2014

HOFU YAZIDI KUTANDA MIONGONI MWA WANANCHI, DAR,PWANI NA MOROGORO HAKUKARIKI, SIKILIZA LIVE MATUKIO YA KINACHOENDELEA KUPITIA MASAFA YA 93.7 FM..!

Na Livingstone Mkoi
Burudani mfululizo zinazotolewa ndani ya kituo kipya kabisa cha radio chenye masafa ya 93.7 Fm Dar es Salaam kimeendelea kuwatia hofu wamiliki wa radio kadhaa za mjini kwa kile kinachodaiwa kuogopa kufunikwa.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mtandao huu unasema kuwa radio hiyo tangu iwe hewani mapema mwaka huu tarehe 2 imekuwa tishio kwa wasikilizaji ambapo hadi sasa hawataki tena kusikiliza radio za zamani badala yake kila mtu anatyuni 93.7 Fm ambapo burudani zinazopatikana humo ni tishio.
Hata hivyo radio hiyo yenye mitambo ya kisasa na inasikika kwa usikivu wa hali ya juu tofauti na radio nyingine na imekuwa ikipatikana zaidi ya mikoa minne hadi sasa, Lakini hata hivyo mashabiki wengi wamekuwa wakijiuliza nani mmiliki wa radio hiyo huku wengi wakisema kuwa ni ya mwanamuziki wa kike nyota Tanzania ambae miezi kadhaa iliyopita alikuwa kwenye bifu kubwa na kituo kimoja cha radio kilichopo Jijini Dar ambapo pia kimekuwa kikilalamikiwa kwa unyonyaji wa kazi za wanamuziki.

No comments:

Post a Comment