TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 24, 2014

AL SHABAB WATIZMIZA AHADI YAO NCHINI KENYA BOMU LALIPUKA NA KUUWA POLISI WANANCHI ANGALIA HAPA KILICHOTOKEA, XDEEJAYZ LIVE..!





BREAKINGNEWS
Bomu linaripotiwa kulipuka kwenye gari na kuuwa watu wanne ikiwa ni Polisi wawili na abiria wawili ambao wanashukiwa walikuwa na bomu hilo kwenye gari karibu na kituo cha Polisi cha Pangani.
Lakini ilivyotokea inaripotiwa na gazeti la Starndard kwamba Polisi hao wawili waliwakamata washukiwa waliokuwa na kuamua kuwapeleka kituo cha Polisi wakiwa na bomu hilo kwenye gari!
Kabla ya kufika kituoni bomu hilo lilipuka na kuuwa wote Polisi pamoja na washukiwa ambao walikuwa kwenye jaribio la kujitoa muhanga.Haijajulikana mara moja kwanini Polisi hao waliamua kuchukua hatua ya namna hii lakini habari zaidi baadaye..
Hata hivyo tukio hilo limehusihwa na kauli ya kundi la AL SHABAB walioahidi juzi kuwa watapeleka kilio kikubwa nchini Kenya.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA "XDTZ"

No comments:

Post a Comment